Luka 22:66 BHN

66 Kulipokucha, kikao cha wazee wa watu kilifanyika, ambacho kilihudhuriwa na makuhani wakuu na waalimu wa sheria. Yesu akaletwa mbele ya Baraza hilo.

Kusoma sura kamili Luka 22

Mtazamo Luka 22:66 katika mazingira