Luka 22:7 BHN

7 Basi, siku ya mikate isiyotiwa chachu ikafika. Hiyo ndiyo siku ambayo mwanakondoo wa Pasaka huchinjwa.

Kusoma sura kamili Luka 22

Mtazamo Luka 22:7 katika mazingira