Luka 23:15 BHN

15 Wala si mimi tu, bali hata Herode hakuona kosa lolote, kwa maana amemrudisha kwangu. Ni dhahiri kwamba mtu huyu hakufanya chochote kinachostahili adhabu ya kifo.

Kusoma sura kamili Luka 23

Mtazamo Luka 23:15 katika mazingira