Luka 24:29 BHN

29 lakini wao wakamsihi wakisema, “Kaa pamoja nasi, maana kunakuchwa, na usiku unakaribia.” Basi, akaingia kijijini, akakaa pamoja nao.

Kusoma sura kamili Luka 24

Mtazamo Luka 24:29 katika mazingira