Luka 3:17 BHN

17 Yeye anacho mikononi mwake chombo cha kupuria nafaka aipure nafaka yake, akusanye ngano katika ghala, na makapi ayachome kwa moto usiozimika.”

Kusoma sura kamili Luka 3

Mtazamo Luka 3:17 katika mazingira