Luka 4:2 BHN

2 Huko alijaribiwa na Ibilisi kwa muda wa siku arubaini. Wakati huo wote hakula chochote, na baada ya siku hizo akasikia njaa.

Kusoma sura kamili Luka 4

Mtazamo Luka 4:2 katika mazingira