Luka 4:25 BHN

25 Lakini, sikilizeni! Kweli kulikuwa na wajane wengi katika nchi ya Israeli nyakati za Elia. Wakati huo mvua iliacha kunyesha kwa muda wa miaka mitatu na nusu; kukawa na njaa kubwa katika nchi yote.

Kusoma sura kamili Luka 4

Mtazamo Luka 4:25 katika mazingira