Luka 4:6 BHN

6 “Nitakupa uwezo juu ya falme zote hizi na fahari zake, kwa maana nimepewa hivi vyote; nikitaka kumpa mtu ninaweza.

Kusoma sura kamili Luka 4

Mtazamo Luka 4:6 katika mazingira