Luka 5:1 BHN

1 Siku moja, Yesu alikuwa amesimama kando ya ziwa Genesareti, na watu wengi walikuwa wamemzunguka wakisongamana, wanasikiliza neno la Mungu.

Kusoma sura kamili Luka 5

Mtazamo Luka 5:1 katika mazingira