Luka 5:10 BHN

10 Hali kadhalika Yakobo na Yohane, wana wa Zebedayo, waliokuwa wavuvi wenzake Simoni. Yesu akamwambia Simoni, “Usiogope; tangu sasa utakuwa ukivua watu.”

Kusoma sura kamili Luka 5

Mtazamo Luka 5:10 katika mazingira