21 Waalimu wa sheria na Mafarisayo wakaanza kujiuliza: “Nani huyu anayesema maneno ya kufuru? Hakuna mtu awezaye kusamehe dhambi ila Mungu peke yake!”
Kusoma sura kamili Luka 5
Mtazamo Luka 5:21 katika mazingira