25 Mara, huyo mtu aliyepooza akasimama mbele yao wote, akachukua kitanda chake akaenda nyumbani kwake huku akimtukuza Mungu.
Kusoma sura kamili Luka 5
Mtazamo Luka 5:25 katika mazingira