Luka 5:3 BHN

3 Baada ya Yesu kuingia katika mashua moja iliyokuwa ya Simoni, alimtaka Simoni aisogeze majini, mbali kidogo na ukingo wa ziwa. Akaketi, akafundisha umati wa watu akiwa ndani ya mashua.

Kusoma sura kamili Luka 5

Mtazamo Luka 5:3 katika mazingira