Luka 5:33 BHN

33 Watu wengine wakamwambia, “Wafuasi wa Yohane Mbatizaji hufunga mara kwa mara na kusali; hata wafuasi wa Mafarisayo hufanya vivyo hivyo. Lakini wafuasi wako hula na kunywa.”

Kusoma sura kamili Luka 5

Mtazamo Luka 5:33 katika mazingira