37 Wala watu hawatii divai mpya katika viriba vikuukuu; kwani hiyo divai mpya itavipasua hivyo viriba, divai itamwagika, na viriba vitaharibika.
Kusoma sura kamili Luka 5
Mtazamo Luka 5:37 katika mazingira