Luka 6:10 BHN

10 Baada ya kuwatazama wote waliokuwa pale, akamwambia yule mtu, “Nyosha mkono wako.” Naye akafanya hivyo, na mkono wake ukawa mzima tena.

Kusoma sura kamili Luka 6

Mtazamo Luka 6:10 katika mazingira