Luka 6:21 BHN

21 Heri nyinyi mnaosikia njaa sasa,maana baadaye mtashiba.Heri nyinyi mnaolia sasa,maana baadaye mtacheka kwa furaha.

Kusoma sura kamili Luka 6

Mtazamo Luka 6:21 katika mazingira