Luka 6:25 BHN

25 Ole wenu nyinyi mnaoshiba sasa,maana baadaye mtasikia njaa.Ole wenu nyinyi mnaocheka kwa furaha sasa,maana baadaye mtaomboleza na kulia.

Kusoma sura kamili Luka 6

Mtazamo Luka 6:25 katika mazingira