Luka 6:32 BHN

32 “Na ikiwa mnawapenda tu wale wanaowapenda nyinyi, je, mtapata tuzo gani? Hakuna! Kwa maana hata wenye dhambi huwapenda wale wanaowapenda wao.

Kusoma sura kamili Luka 6

Mtazamo Luka 6:32 katika mazingira