Luka 6:34 BHN

34 Na kama mnawakopesha wale tu mnaotumaini watawalipeni, je, mtapata tuzo gani? Hata wenye dhambi huwakopesha wenye dhambi wenzao ili warudishiwe kima kilekile.

Kusoma sura kamili Luka 6

Mtazamo Luka 6:34 katika mazingira