Luka 6:37 BHN

37 “Msiwahukumu wengine, nanyi hamtahukumiwa; msiwalaumu wengine, nanyi hamtalaumiwa; wasameheni wengine, nanyi mtasamehewa.

Kusoma sura kamili Luka 6

Mtazamo Luka 6:37 katika mazingira