Luka 6:6 BHN

6 Siku nyingine ya Sabato, Yesu aliingia katika sunagogi, akafundisha. Mle ndani kulikuwa na mtu ambaye mkono wake wa kulia ulikuwa umepooza.

Kusoma sura kamili Luka 6

Mtazamo Luka 6:6 katika mazingira