Luka 6:8 BHN

8 Lakini Yesu alijua mawazo yao, akamwambia yule mwenye mkono uliopooza, “Inuka, simama katikati.” Yule mtu akaenda kusimama katikati.

Kusoma sura kamili Luka 6

Mtazamo Luka 6:8 katika mazingira