16 Watu wote walishikwa na hofu, wakawa wanamtukuza Mungu wakisema, “Nabii mkuu ametokea kati yetu. Mungu amekuja kuwakomboa watu wake.”
Kusoma sura kamili Luka 7
Mtazamo Luka 7:16 katika mazingira