Luka 7:2 BHN

2 Huko kulikuwa na jemadari mmoja ambaye alikuwa na mtumishi wake aliyempenda sana. Huyu mtumishi alikuwa mgonjwa karibu na kufa.

Kusoma sura kamili Luka 7

Mtazamo Luka 7:2 katika mazingira