Luka 7:36 BHN

36 Mfarisayo mmoja alimwalika Yesu kula chakula nyumbani kwake. Akaingia nyumbani kwa huyo Mfarisayo, akakaa kula chakula.

Kusoma sura kamili Luka 7

Mtazamo Luka 7:36 katika mazingira