Luka 7:49 BHN

49 Ndipo wale waliokuwa pamoja naye mezani wakaulizana, “Ni mtu wa namna gani huyu awezaye kusamehe dhambi?”

Kusoma sura kamili Luka 7

Mtazamo Luka 7:49 katika mazingira