Luka 7:9 BHN

9 Yesu aliposikia hayo, alishangaa, halafu akauelekea ule umati wa watu uliokuwa unamfuata, akasema, “Sijaona mwenye imani kama hii hata katika Israeli!”

Kusoma sura kamili Luka 7

Mtazamo Luka 7:9 katika mazingira