Luka 8:1 BHN

1 Baada ya hayo, Yesu alipitia mijini na vijijini akitangaza Habari Njema za ufalme wa Mungu. Wale kumi na wawili waliandamana naye.

Kusoma sura kamili Luka 8

Mtazamo Luka 8:1 katika mazingira