Luka 8:10 BHN

10 Naye akajibu, “Nyinyi mmejaliwa kujua siri za ufalme wa Mungu, lakini hao wengine sivyo; ila hao huambiwa kwa mifano, ili wakitazama wasiweze kuona, na wakisikia wasifahamu.

Kusoma sura kamili Luka 8

Mtazamo Luka 8:10 katika mazingira