Luka 8:12 BHN

12 Zile zilizoanguka njiani zinaonesha watu wale wanaosikia lile neno, halafu Ibilisi akaja na kuliondoa mioyoni mwao wasije wakaamini wakaokoka.

Kusoma sura kamili Luka 8

Mtazamo Luka 8:12 katika mazingira