Luka 8:30 BHN

30 Basi, Yesu akamwuliza, “Jina lako nani?” Yeye akajibu, “Jina langu ni ‘Jeshi’” – kwa sababu pepo wengi walikuwa wamempagaa.

Kusoma sura kamili Luka 8

Mtazamo Luka 8:30 katika mazingira