Luka 8:32 BHN

32 Mahali hapo kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe wakilisha mlimani. Basi, hao pepo wakamsihi awaruhusu wawaingie. Naye Yesu akawapa ruhusa.

Kusoma sura kamili Luka 8

Mtazamo Luka 8:32 katika mazingira