39 “Rudi nyumbani ukaeleze yote Mungu aliyokutendea.” Basi, yule mtu akaenda akitangaza kila mahali katika mji ule mambo yote Yesu aliyomtendea.
Kusoma sura kamili Luka 8
Mtazamo Luka 8:39 katika mazingira