Luka 8:47 BHN

47 Yule mwanamke alipoona kwamba hawezi kujificha, akajitokeza akitetemeka kwa hofu, akajitupa mbele ya Yesu. Hapo akaeleza mbele ya wote kisa cha kumgusa Yesu na jinsi alivyoponywa mara moja.

Kusoma sura kamili Luka 8

Mtazamo Luka 8:47 katika mazingira