Luka 8:5 BHN

5 “Mpanzi alikwenda kupanda mbegu zake. Alipokuwa akipanda hizo mbegu, nyingine zilianguka njiani, na wapita njia wakazikanyaga na ndege wakazila.

Kusoma sura kamili Luka 8

Mtazamo Luka 8:5 katika mazingira