52 Watu wote walikuwa wakilia na kuomboleza kwa ajili yake. Lakini Yesu akawaambia, “Msilie, kwa maana mtoto hajafa, amelala tu!”
Kusoma sura kamili Luka 8
Mtazamo Luka 8:52 katika mazingira