Luka 9:19 BHN

19 Nao wakamjibu, “Wengine wanasema kuwa wewe ni Yohane Mbatizaji; wengine, Elia; wengine, mmojawapo wa manabii wa kale ambaye amefufuka.”

Kusoma sura kamili Luka 9

Mtazamo Luka 9:19 katika mazingira