Luka 9:22 BHN

22 Akaendelea kusema kwamba ni lazima Mwana wa Mtu apate mateso mengi na kukataliwa na wazee na makuhani wakuu na waalimu wa sheria na kuuawa, lakini siku ya tatu atafufuliwa.

Kusoma sura kamili Luka 9

Mtazamo Luka 9:22 katika mazingira