Luka 9:26 BHN

26 Mtu akinionea aibu mimi na mafundisho yangu, Mwana wa Mtu atamwonea aibu mtu huyo wakati atakapokuja katika utukufu wake na wa Baba na wa malaika watakatifu.

Kusoma sura kamili Luka 9

Mtazamo Luka 9:26 katika mazingira