Luka 9:32 BHN

32 Petro na wenzake walikuwa wamelemewa na usingizi mzito, hata hivyo waliamka, wakauona utukufu wake, wakawaona na wale watu wawili waliokuwa wamesimama pamoja naye.

Kusoma sura kamili Luka 9

Mtazamo Luka 9:32 katika mazingira