Luka 9:34 BHN

34 Petro alipokuwa akisema hayo, mara wingu likatokea na kuwafunika; na wingu hilo lilipowajia, wale wanafunzi waliogopa sana.

Kusoma sura kamili Luka 9

Mtazamo Luka 9:34 katika mazingira