Luka 9:36 BHN

36 Baada ya hiyo sauti kusikika, Yesu alionekana akiwa peke yake. Wanafunzi walikaa kimya juu ya tukio hilo, na wakati ule hawakumwambia mtu yeyote mambo hayo waliyoyaona.

Kusoma sura kamili Luka 9

Mtazamo Luka 9:36 katika mazingira