39 Pepo huwa anamshambulia, na mara humfanya apige kelele; humtia kifafa, na povu likamtoka kinywani. Huendelea kumtesa sana, asimwache upesi.
Kusoma sura kamili Luka 9
Mtazamo Luka 9:39 katika mazingira