Luka 9:45 BHN

45 Lakini wao hawakuelewa maana ya usemi huo. Jambo hilo lilikuwa limefichwa kwao ili wasitambue; nao wakaogopa kumwuliza juu ya msemo huo.

Kusoma sura kamili Luka 9

Mtazamo Luka 9:45 katika mazingira