Marko 1:6 BHN

6 Yohane alikuwa amevaa vazi lililofumwa kwa manyoya ya ngamia, na ukanda wa ngozi kiunoni mwake. Chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwituni.

Kusoma sura kamili Marko 1

Mtazamo Marko 1:6 katika mazingira