7 Naye alihubiri akisema, “Baada yangu anakuja mwenye nguvu zaidi kuliko mimi, ambaye mimi sistahili hata kuinama na kufungua kamba za viatu vyake.
Kusoma sura kamili Marko 1
Mtazamo Marko 1:7 katika mazingira