Marko 12:37 BHN

37 “Daudi mwenyewe anamwita Kristo Bwana. Basi, Kristo atakuwaje mwanawe?”Umati wa watu ulikuwa ukimsikiliza kwa furaha.

Kusoma sura kamili Marko 12

Mtazamo Marko 12:37 katika mazingira