Marko 12:38 BHN

38 Katika mafundisho yake, Yesu alisema, “Jihadharini na waalimu wa sheria ambao hupenda kupitapita wamejivalia kanzu ndefu na kusalimiwa na watu kwa heshima sokoni; hupenda kuketi mahali pa heshima katika masunagogi,

Kusoma sura kamili Marko 12

Mtazamo Marko 12:38 katika mazingira