Marko 12:43 BHN

43 Hapo Yesu akawaita wanafunzi wake, akawaambia, “Kweli nawaambieni, mama huyu mjane maskini ametia katika sanduku la hazina kiasi kikubwa kuliko walichotia wengine wote.

Kusoma sura kamili Marko 12

Mtazamo Marko 12:43 katika mazingira